Warsha maalumu ya Ushirikiano Baina ya Chama cha Wafanyakazi wa Mawasiliano na Uchukuzi
Tanzania COTWU (T) na Chama Cha Wafanyakazi wa Sekta ya Usafirishaji ardhini (GTULTW) cha Nchini Misri.
Warsha imefanyika katika Hotel ya Spice Jijinii Dar es Salaam. Ikihudhuliwa na Vingozi wa Juu wa Chama hicho kutoka Misri ambao ni Raisi na Makamu wa Raisi, Katibu Mkuu, Mweka hazina na Mjumbe mmoja wa Bodi ya Chama pamoja na Mkurugenzi wa Elimu na Uhusiano wa Kimataifa
Aidha kwa upande wa COTWU (T) - ugeni huo umepokelewa na Sekretarieti ya Chama, Mweka hazina na Mwenyekiti wa Chama.
COTWU TANZANIA MWANACHAMA KWANZA HUDUMA IENDELEE..
