Chama cha Wafanyakazi wa Mawasiliano na Uchukuzi Tanzania COTWU (T) Kanda ya Mashariki kwakushirikiana
na Katibu Elimu wa Chama Ndg:Elisa Luvigo Mapema leo Tarehe 15/06/2024 wametoa semina kwa Wafanyakazi wa Kampuni ya Said Salim Bakhresa (SSB) - Transport Division JUU YA WAJIBU WA WAFANYAKAZI ILI UPATE HAKI ZAO KWA MWAJILI.
Cotwu Tanzania Mwanachama Kwanza Huduma iendelee.
